
Rais Jamhuri wa Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila amemtimua kazi
Naibu Waziri wa Posta na Mawasiliano kutokana na kusambaa kwa video
inayomuonesha akipiga punyeto ofisini
Kwa mujibu wa televisheni ya taifa, RTNC, Kabila amedai waziri huyo, Enock Ruberangabo Sebineza ameliabisha taifa.
...