
Askofu wa KKT Matatani kwa kashfa za kutembea na Mke wa Mtu
DK. Alex Malasusa, Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani, anatuhumiwa kujihusisha kimapenzi na mchungaji wa kanisa hilo ambaye ni mke wa mtu, anaandika Josephat Isango.
Anayemtuhumu...