Showing posts with label mastaa. Show all posts
Showing posts with label mastaa. Show all posts

Friday, May 20, 2016

Picha: John Legend Afurahia Kuwa Baba

Maisha huwa ni mazuri pindi unapokipata kitu unachokitaka.Kwa sasa maisha ya John Legend na mkewe, Chrissy Teigen yanaonekana kuwa na furaha zaidi tangu walipofanikiwa kupata mtoto wa kike, Luna Simone mwezi uliopita. Wawili hao wameonekana kwenye mitaa ya New York City wakizunguka huku John Legend...
Share:

Thursday, May 19, 2016

Staa wa filamu za James Bond apiga teke fuko la hela

Muigizaji raia wa Uingereza, Daniel Craig ayelikuwa akicheza filamu za James Bond amekataa ofa ya £68 milioni kutoka kwenye kampuni ya MGM Studio iliyomtaka acheze filamu mbili za 007. Taarifa zinasema kuwa kwa sasa Tom Hiddleston ndiye anategemewa kuwa James Bond anayefuata baada ya Daniel...
Share:

Thursday, May 12, 2016

Picha: 2Face Apewa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu Nchini Nigeria

Msanii wa Nigeria, 2Face amekuwa msanii wa kwanza wa nchi hiyo kupewa shahada ya heshima na chuo kikuu cha Igbinedion, Okada. Shahada hiyo ya heshima kwa 2Face alikabidhiwa ikiwa imeambatana na sherehe za kusherekea miaka 17 tangu kuanzishwa kwa chuo hicho. Aliyekuwa Gavana wa jimbo la...
Share:

Tuesday, May 10, 2016

Picha: Mfahamu binti wa Van Damme, Bianca,anapiga mkono kama baba yake

Bianca, binti wa Van Damme Mtoto wa nyoka naye ni nyoka vile vile. Uzuri wa Bianca Van Varenberg, 25, usikulaghai ukadhani ni binti wa kuchezea tu. Atakupa mkong’oto hadi usahau njia uliyopitia. Ni mtoto wa muigizaji mkongwe wa movie za mapigano, Jean Claude Van Damme. Anajulikana zaidi...
Share:

Saturday, May 7, 2016

Video: Inasikitisha....Cameroon Wapoteza Tena Staa Mwingine Uwanjani

Kama ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya soka barani Ulaya huenda utakuwa umekutana na taarifa za kusikitisha kwa taifa la Cameroon, usiku wa May 6 2016 Cameroon na Afrika  kwa ujumla ilipata taarifa za kushtusha, baada ya kupokea taarifa za kifo cha kiungo wa kimataifa wa Cameroon aliyekuwa...
Share:

Thursday, May 5, 2016

P Diddy Aongoza Orodha ya Forbes ya Wana Hip Hop Watano Wenye Mkwanja zaidi

Forbes wametoa orodha mpya ya wasanii wa hip hop wenye fedha zaidi, The Forbes Five. Diddy ameongoza orodha hiyo mwaka huu kwa kuwa na utajiri ufikao dola milioni 750. Nafasi ya pili imekamatwa na Dr Dre mwenye dola milioni 710 huku Jay Z akifuatia kwa dola milioni 610. Mwanzilishi wa Cash...
Share:

Janet Jackson ni mjamzito akiwa na miaka 49

Janet Jackson ni mjamzito, akiwa na umri wa miaka 49. Atakuwa mtoto wao wa kwanza na mumewe, Wissam Al Mana. Habari hiyo imekuja baada ya muimbaji huyo kutangaza kusitisha ziara yake ya Unbreakable kwa kile alichoeleza kama kupanga familia yao.Alisema kuwa alilazimika kufanya hivyo kutokana na...
Share:

Wednesday, May 4, 2016

P. Diddy kuachana na muziki

MKALI wa muziki wa hip hop, Sean Combs ‘P. Diddy’, ameweka wazi kwamba anatarajia kuachana na muziki na kujitupa kwenye filamu baada ya kuutumikia muziki kwa zaidi ya miaka 20. Msanii huyo amesema anataka kuachia albamu yake ya mwisho ya muziki kisha kuingia kwenye filamu kwa asilimia...
Share:

Binti wa Papa Wemba Amtoa Machozi Rais Kabila

“KIFOO kifoo, kifoooo kifoo, kifoo hakina huruma…, ndivyo wanavyokumbuka wakazi wa Kongo na wapenda muziki kwa ujumla duniani kote katika kuomboleza vifo vya watu wawili mashuhuri katika muziki wao. Baba wa mwanamuziki nguli barani Afrika, Koffi Olomide ‘Mopao Mokonzi’ anayetamba na wimbo...
Share:

Tuesday, May 3, 2016

Mama yake Tupac, Afeni Shakur Davis afariki dunia

Afeni Shakur Davis, mama yake hayati Tupac Shakur amefariki dunia. Alikuwa na umri wa miaka 69. Mama huyo alipata mshtuko wa moyo Jana kabla ya kupelekwa hospitali alikopoteza maisha kabla ya saa nne na nusu usiku. Shakur, aliyezaliwa kwa jina la Alice Faye Williams, alibadilisha jina lake...
Share:

Picha: Maelfu Wamuaga Papa Wemba Kinshasa,Serikali Imetangaza Siku Tatu za Maombolezi

Mke wa Papa Wemba na Mtoto wao(katikati)   Maelfu ya waombolezaji walijitokeza kuadhimisha misa ya wafu kwa heshima ya mwanamuziki nyota wa muziki wa Soukus na Rhumba raia wa Jamhuri ya Congo Papa Wemba. Waomboloezaji walipiga foleni ilikupata fursa ya kutoa heshima zao za mwisho kwa...
Share:

Monday, May 2, 2016

Soulja Boy adai kupata mchongo wa Dola Milioni 400

Soulja Boy ameula. Kwa mujibu wake mwenyewe, rapper huyo aliyepotea kwenye chati, amedai kuwa atasaini dili lenye thamani ya dola milioni 400. Ametangaza hatua hiyo kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii. Aliandika kwenye Twitter. $400 million deal confirmed. I still they think they...
Share:

2Face Ajibu Tuhuma za Kutembea na Tiwa Savage

 2Face amefunguka kwa mara ya kwanza tangu atuhumiwe kutoka kimapenzi na Tiwa Savage. Mume wa Tiwa, Tee Billz, ndiye aliyemrushia tuhuma hizo. Siku kadhaa sasa ndoa ya Tiwa Savage na mumewe, Tee Billz imekuwa haipo kwenye hali nzuri huku Tee Billz akiwatuhumu Don Jazzy, 2Face na Dr Sid...
Share:

Monday, April 25, 2016

Birdman ataka heshima Cash Money

BOSI wa kundi la Cash Money, Bryan Williams ‘Birdman’, amewajia juu watu ambao wanalidharau kundi hilo na kulitia ubaya. Kuna baadhi ya mashabiki walikuwa wanalisema vibaya kundi hilo kwamba bosi huyo anawanyanyasa wasanii wake na kusababisha wengine kulikimbia kundi hilo. Kutokana...
Share:

Polisi wakanusha Prince kujiua

POLISI Jimbo la Minnesotta, nchini Marekani, wamekanusha taarifa za uvumi kwamba msanii wa muziki nchini humo, Prince Nelson, alijiua. Msanii huyo alipoteza maisha Alhamisi wiki iliyopita huku akiwa nyumbani kwake katika jimbo hilo, polisi wamefanya uchunguzi na kugundua kwamba msanii huyo hakujiua. Taarifa...
Share:

Thursday, October 1, 2015

Video:Kim Kardashian hakujua kama Kanye West ana mpango wa kugombea urais 2020 mpaka alipotangaza kwenye VMA

Taarifa za rapper Kanye West kutaka kugombea urais wa Marekani ifikapo mwaka 2020, hazikuwashangaza watazamaji tu, bali hata mkewe Kim Kardashian hakuwa anafahamu mpaka aliposikia mumewe Kanye akitangaza kwenye tuzo za VMA.  Akizungumza kwenye kipindi cha The Ellen DeGeneres Show, mama kijacho...
Share:

Wednesday, September 30, 2015

Video za ngono za Jennifer Lopez kuwekwa hadharani

ALIYEWAHI kuwa mume wa msanii nyota nchini Marekani, Jennifer Lopez ‘JLo’, Noa Ojani, amesema anatarajia kuachia video za ngono za mke wake huyo wa zamani. Video hiyo ilichezwa na wapenzi hao wawili wakati walipokuwa katika uhusiano wa kimapenzi lakini...
Share:

Mpenzi wa mwigizaji Jim Carrey ajiua baada ya ‘kutemwa’

Cathriona White  akiwa na aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni mwigizaji maarufu wa filamu za Hollywood, Jim Carrey.Cathriona White enzi za uhai wake.….Wakijiachia ufukweni.Nyumba ulimokutwa mwili wa marehemu Cathriona White White (wa pili kushoto) wakati wa sherehe ya ndoa ya dada yake,...
Share:

Saturday, May 30, 2015

Video mpya ya Diamond ft Mr Flavour - Nana

...
Share:

Tuesday, December 3, 2013

UTENGENEZAJI WA FAST AND FURIOUS 7 KUENDELEA BAADA YA KUSIMAMA KWA MUDA KUTOKANA NA KIFO CHA MMOJA WA MASTAA WAKE,PAUL WALKER....

Paul walker enzi za uhai wakeUtengenezaji wa filamu mpya ya Fast and Furious utaendelea licha ya kifo cha mmoja wa mastaa wake, Paul Walker. Utengenezaji wa filamu hiyo yenye bajeti kubwa ulikuwa umesimama weekend wakati wa sikukuu ya Thanksgiving ambapo Walker alipata ajali na kufa siku ya Jumamosi....
Share:

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger