Showing posts with label udaku. Show all posts
Showing posts with label udaku. Show all posts

Friday, May 13, 2016

Mpambano Nani Mwenye Makalio Makubwa… Wema Amjibu Zari

Wema Sepetu na jamaa yake anayedaiwa kuwa ni msanii. Miezi kadhaa iliyopita liliibuka gumzo kubwa mtandaoni kati ya Timu Wema na Timu Zari kuhusu nani kati ya Wema Sepetu na Zarinah Hassan ‘Zari’ ana wowowo kubwa. Katika mjadala huo kila upande ulikuwa ukivutia kwake huku mara nyingi...
Share:

Wednesday, April 27, 2016

Mke wa Messi 'amblock' Instagram Miss huyu shabiki wa Mumewe

Hivi karibuni mke wa Lionel Messi, Antonella Roccuzzo alimblock Suzy Cortez ambaye ni Miss Bumbum nchini Brazil mwaka 2015.   Suzy Cortez ameonekana kuwa ni shabiki mkubwa wa mchezaji wa timu ya Barcelona, Lionel Messi kutokana na kuonekana kuvaa jezi za timu hiyo yenye namba na jina...
Share:

Saturday, July 18, 2015

PICHA: Gereza lageuzwa bonge la Hoteli, kulala humu vipi ?

Bridewell lilikuwa Gereza ndani ya Liverpool Uingereza ambalo lilijengwa tangu miaka ya 1550 hivi, liliwahi kubadilishwa matumizi yake kwa mara kadhaa lakini hii ya sasa hivi ni story tofauti yani. Pata picha mahali kama Gereza la Segerea, Keko au Ukonga ambamo...
Share:

Tuesday, June 9, 2015

Video ya Mwigizaji Lulu Michael Akicheza Wimbo wa Diamond yazua Gumzo Mitandaoni

Video ya muigizaji maarufu nchini, Elizabeth michael , aka lulu, imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ambapo msanii huyo aliipost kwenye ukurusa wake wa instagram. Video hiyo inamuonyesha msanii huyo akicheza wimbo wa mwanamuziki maarufu nchini, diamond platnums, unaojulikana kama nana /sankoro Mwangalie ...
Share:

Thursday, December 5, 2013

"WALIOHUSIKA KUCHOMA MOTO OFISI ZA CHADEMA NI CHADEMA WENYEWE..." TAMKO LA POLISI BAADA YA UCHUNGUZI KUKAMILIKA...

.Polisi mkoani Arusha imekamilisha uchunguzi wake kuhusiana na kuungua kwa Ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kusema wanachama wa chama hicho ndio waliohusika.   Hata hivyo, Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema amepinga kauli hiyo na kulipa jeshi hilo siku...
Share:

ZITTO MATATANI BAADA YA KUSHINDWA KESI YAKE YA KUTOA KASHFA DHIDI YA MFANYABIASHARA RAIA WA AFRIKA KUSINI....

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), kwa mara nyingine ameingia matatani baada ya kushindwa kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara raia wa Afrika Kusini.Katika kesi hiyo, Zitto alituhumiwa kutoa madai kupitia tovuti yake www.zittokabwe.wordpress.com kuwa mlalamikaji, Moto Mabanga alitoa...
Share:

DR.KITILA MKUMBO AKANUSHA KUWA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CHADEMA,ADAI ALIJIUZULU TANGU MWAKA 2010....

. Katika hali ya kushangaza Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Kitila Mkumbo, amekanusha madai ya kuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA kupitia barua yake aliyouandikia uongozi wa chuo hicho, huku akisisitiza kuwa alijiuzulu nafasi hiyo tangu Januari 2010.Hiyo imedhibitishwa na ...
Share:

PICHA: MKUTANO WA KATIBU MKUU WA CCM AKIHITIMISHA ZIARA YAKE JIJINI MBEYA....

.Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wakazi wa Mbeya mjini, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jana jioni katika Uwanja wa Rwanda Nzovwe, wilaya ya Mbeya mjini, ikiwa ni mkutano wa kuhitimisha ziara yake katika mkoa huo, ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza...
Share:

PICHA:MKUTANO WA DR SLAA KAHAMA MJINI JANA...

. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa akihutubia wakazi wa Kahama Mjini jana. Dk. Slaa akiendelea na mkutano uliofanyika kwenye Uwanja wa CDT mjini Kahama  ja...
Share:

"MGOGORO ULIOPO NDANI YA CHADEMA NI KAZI YA MAKACHERO..." DR SLAA AFUNGUKA

.KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa amesema mgogoro uliopo ndani ya chama ni kazi ya makachero. Alitoa kauli hiyo jana jioni alipokuwa akihutubia mamia ya wananchi wa Mji wa Kahama mara baada ya kuwasili akitokea jijini Dar es Salaam akiwa njia kuelekea...
Share:

MAHAKAMA YATAKIWA KUMTAMBUA SOKWE KAMA BINADAMU KISHERIA....

.Kikundi kimoja cha kutetea haki za wanyama nchini Marekani kimeitaka mahakama mojamjini New York kumtambua sokwe kama binadamu kisheria.Kikundi cha Mradi wa Haki Zisizo za Binadamu (Nonhuman Rights Project) kimetaka sokwe mtu alitwae Tommy kupewa hadhi ya “ubinadamu kisheria” na hivyo anastahili...
Share:

MAGAZETI YA BONGO LEO 5/12/2013....

MAGAZETI YA LEO .......................................
Share:

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger