Rais Jamhuri wa Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila amemtimua kazi
Naibu Waziri wa Posta na Mawasiliano kutokana na kusambaa kwa video
inayomuonesha akipiga punyeto ofisini
Kwa mujibu wa televisheni ya taifa, RTNC, Kabila amedai waziri huyo, Enock Ruberangabo Sebineza ameliabisha taifa.
Tangu Alhamis iliyopita hadi Ijumaa, video hiyo imekuwa ikisambaa
mtandaoni ikimuonesha waziri huyo akijichua ofisini kwake. Nyuma yake
inaonekana bendera ya nchi hiyo na picha ya Rais Kabila.
Wananchi wengi wamekasirishwa na video hiyo na kumtaka ajiuzulu.
0 comments:
Post a Comment