Home
About
Disclaimer
Contact
Advertise Here
Home
BURUDANI
SIASA
MICHEZO
WASANII
GOSSIPS
Menu
Home
BURUDANI
SIASA
MICHEZO
WASANII
GOSSIPS
Sunday, May 19, 2013
MBUNGE WA IRINGA ( PETER MSIGWA ) ATIWA MBARONI BAADA YA KUONGOZA WANANCHI KUFANYA FUJO
1:44:00 PM
siasa
,
udaku
No comments
mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwasili eneo la vurugu kabla ya kuanza kwa vurugu hizo
Mbunge Msigwa akiondoka eneo la mashine tatu
Machinga wakisukuma gari ya mbunge Msigwa
Polisi wakimfuatilia mbunge Msigwa kwa nyuma baada ya kufika eneo hilo bila kufanya biashara kama alivyoahidi
Polisi wakianza kufukuza wananchi eneo hilo
Polisi wakipita eneo la Mashine tatu asubuhi
Abiria na wapiga debe stendi kuu wakinawa maji baada ya kupigwa mabomu na kumwagiwa maji ya kuwasha na askari wa FFU leo
Hali ikiendelea kuwa tete kwa machinga kufunga barabara kuu ya Iringa Dodoma na ile ya mashine tatu
Ni Machafuko Iringa hivi leo
Share:
Weka Maoni yako Hapa
← Newer Post
Older Post →
Home
0 comments:
Post a Comment
Search for:
Become a Fan
Popular Posts
Majaliwa: Uhaba Wa Sukari Kumalizika Nchini
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali inaendelea na jitihada za kuondoa tatizo la uhaba wa sukari ...
Hawara wa Mfanyakazi wa ndani Atiwa Mbaroni Akihusishwa na Mauaji ya Dada wa Bilionea Msuya
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watu wengine wawili, akiwamo mpenzi wa mfanyakazi wa ndani wa Aneth Msuya, ...
Ajali Mbaya Yaua 6 na Kujeruhi 8, Same kilimanjaro
WATU sita wamefariki dunia na wengine nane wamejeruhiwa vibaya katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria aina ya Hiace lililokuwa ...
Dongo la Mbatia kwa Naibu Spika Dr. Tulia Akson
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho...
MWANACHUO WA 'UDSM" ATIWA MBARONI KWA KUMTEKA MTOTO...
Jeshi la Polisi mkoani hapa limewakamata watu wawili wanaodaiwa kumteka mtoto kwa madai ya kupata fidia kutoka kwa wazazi wa mtoto huyo. Ta...
UVCCM Wamjibu Kingunge, Wasema kakosa Uungwana
Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya CCM (UVCCM) imesema uamuzi wa aliyekuwa kada wa chama hicho, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru kukihama cham...
Kilio Kwa watumia M-pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na Wale wa Kwenye ATM.....Kila ukituma 1000/- utakatwa kodi 280/-
Wachambuzi na wadau mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/17, huku watumiaji wa huduma za fedh...
Mjadala wa Bunge kurushwa 'Live' waleta tafrani Bungeni Leo....Mbunge wa CUF Aitwa 'bwege' na Naibu Spika
Mvutano mkali umeibuka bungeni, mjini Dodoma leo wakati wabunge wa ya upinzani wakichangia mjadala wa bajeti mbili za Ofisi ya Rais-Tam...
Kijana Awafungia Ndugu zake Ndani na Kisha Kuchoma Moto Nyumba Jijini Mwanza
Nyumba moja iliyopo mtaa wa Kiseke Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza imeteketea kwa moto leo asubuhi na kuunguza vitu vingi huku wakazi...
VYOMBO VYA HABARI VIKINYAMAZISHWA MAWE YATAPIGA KELELE...
WIKI iliyopita, tasnia ya habari na Watanzania walipatwa na mshtuko baada ya serikali kuamua kuyafungia magazeti ya kila siku ya Mwananchi n...
Copyright ©
GUMZO LA JIJI
| Powered by
Blogger
0 comments:
Post a Comment