Diamond
Platinumz anaendelea kupaa katika ulimwengu wa muziki kimataifa ambapo
mwaka huu pia nyota yake imeng’aa kwenye tuzo kubwa za Black
Entertainment Television (BET 2016).
Mwimbaji
huyo ametajwa kuwania kipengele cha Best International Act: Africa
akichuana na wasanii wengine nguli...
Hatimaye mtangazaji wa Clouds Fm, Gardner G. Habash
amemjibu aliyekuwa mkewe, Lady Jay Dee, aliyemtaka aombe radhi ndani ya
siku saba kwa kauli aliyoitoa iliyodaiwa kuwa imelenga kumdhalilisha.
Katika majibu yake amekana madai hayo.
Siku
chache zilizopita, Gardner alionekana katika kipande...
Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa msanii
Alikiba ni mtu wa kumuacha kutokana na uwezo wake wa kuimba na namna
ambavyo anaweza kuipangilia sauti yake kwenye muziki.
Wema Sepetu amezidi kuonyesha mapenzi aliyonayo kwenye kazi za msanii
Alikiba na kusema huwa zinamkosha...
Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba leo amesaini mkataba na Sony Music , kampuni kubwa ya muziki inayofanya kazi na mastaa wa dunia kama Beyonce, John Legend na Chris Brown.
Moja
ya kazi za mkataba huo ni kumtengeneza Alikiba kweye kiwango cha juu
zaidi kimuziki, kibiashara na kugharamia...
MKALI wa filamu Bongo, Rose Ndauka
ametoa siri ya mambo yake kumnyookea kuwa imetokana na kumuhusisha Mungu
kwa kila anachokifanya na wala si vinginevyo kama watu wanavyodhania.
Akizungumza na Amani, Rose ambaye kwa
sasa anamiliki kampuni inayojishughulisha na kutengeneza Jarida la...
MKALI wa Ngoma ya Saka Hela, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameamua
kumfungukia muuza nyago kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Gigy
Money’ kuwa anatafuta kiki kutumia jina lake katika mahojiano anayofanya
na vyombo mbalimbali vya habari.
Akichonga na Showbiz Xtra, Nay alisema
kuwa...
Story ambazo zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Matonya kwa
sasa anatoka kimapenzi na Giggy Money huku wakisikika kuwa ni kick ya
ngoma yao ya Supu.
Katika mahojiano waliyofanya na ENewz wote wawili walishindwa
kukubali moja kwa moja kuwa wameanguka pamoja kitandani au hawajaanguka...
MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka
kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji
mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa bidii.
Akilonga na Risasi Vibes, Shilole alisema kuwa kwa sasa ameamua kukaa
singo kwa sababu ameona...
Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Feza Kessy wamejitosa
kwenye bifu la Shilole na Vanessa Mdee ambalo linaendelea katika
mitandao ya kijamii.
Chanzo cha bifu ya Shilole na Vanessa hakijatambulika, lakini wawili hao
toka jana wamekuwa wakirushiana maneno makali na vitisho katika
mitandao...
Ni juzi tu tuliona video ya msanii wa kimataifa vanessa mdee
akimfundisha yai local artist Shishi baby salon cha ajabu ni leo ghafla
wamenza kutupiana maneno uko instagram
shilole alianza na ujumbe huu.
Haikuchukua mda nae vanessa mdee v. money amendika maneno haya kupitia instagram account...
Uhusiano wao umepitia misukosuko mingi ikiwemo kuachana mara kadhaa
lakini Idris Sultan na Wema Sepetu hawajalikatia tamaa pendo lao.
Ni muda mrefu tangu Idris aandike kitu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu
penzi lake na Wema baada ya kudai wameamua kuuweka uhusiano wao private
kwa sasa. Lakini...
Msanii wa filamu na Mama wa mtoto mmoja aitwae Sasha, Faiza Ally amedai
hajawahi kufanya mapenzi na mtanzania yeyote toka aachane na aliyekuwa
mume wake Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kwa madai kuwa anaogopa kuzalilishwa.
Muigizaji huyo amesema hali hiyo imekuja kutokana na matukio ya
uzalilishaji...
Muuza
sura kwenye video za Kibongo, Gift Stanford ‘Giggy Money’ amefunguka
kuwa mtangazaji maarufu Bongo wa Clouds FM, Gardner G. Habash hachomoki
kwake na hadi sasa wako kwenye uhusiano wa mapenzi kwa muda wa miezi
sita.
Gigy
mefunguka haya baada ya picha zinazomuonesha akiwa kwenye mapozi...
Lady Jay Dee Sasa Kuitafuta Haki yake Kwa Njia ya Mahakama.Amtaka
Gadner Kuomba Msamaha Mbele ya Umma la sivyo hatua za kumpeleka Mahakani
zitaendelea, Soma Hii Hapa Chini:
...
Msanii wa filamu, Aunt Ezekiel na mpenzi wake Mose Iyobo pamoja na mtoto
wao ‘Cookie’, wapo kwenye mchakato wa kuandaa filamu ya fimilia.
Mose Iyobo ambaye pia ni dancer wa Diamond, ameiambia Bongo5 kuwa tayari wapo kwenye mchakato wa kauandaa kazi hiyo.
“Kuna kazi za filamu zinakuja,...
Kampuni
ya simu ya MIC Tanzania (Tigo) imekata rufaa kupinga hukumu iliyoamuru
iwalipe Sh2 bilioni wanamuziki wawili, Ambwene Yesaya na Hamisi Mwinjuma
kutokana na kutumia bila ya ridhaa yao, nyimbo za wasanii hao nyota
nchini.
Yesaya,
ambaye ni maarufu kwa jina la kisanii la AY na...
ZIKIWA ni siku chache
zimepita tangu staa wa Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi kufungiwa
video yake ya Chura na kutakiwa kuitengeneza upya, Video Queen, Gift
Stanford ‘Gigy Money’ naye amejikuta akikumbana na rungu la
Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) kufuatia kusambaza kava la video ya
wimbo...
Mwanamuziki
wa kizazi kipya Nasibu Abdul “Diamond Platinums” pamoja na kundi la
muziki la Mafikizolo wakiimba wimbo wao wa Color of Afrika wakati wa
Tamasha la Vodacom Kichuo zaidi lillilofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma
(UDOM)
Mwanamuziki
wa kizazi kipya Nasibu Abdul “Diamond Platinums”...
Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania kutoka katika Kundi la Vituko
Show, Mohammed Abdallah ‘Kinyambe’ amefariki dunia Jumatano hii baada ya
kusumbuliwa kwa muda mrefu na uvimbe tumboni.
Taarifa za kifo chake zilianza kuzagaa jana katika mitandao ya
kijamii baada ya wasanii wa filamu kuanza...