Mwanamke mmoja huko Bahamas alienda kwenye shule ya serikali AF Adderley akiwa uchi wa mnyama kumuonya mwalimu mwenye uhusiano wa kimapenzi na mume wake.
Aliingia darasa lenye wanafunzi under-age ambako mwalimu huyo alikuwa anafundisha, kumwambia yule mwalimu "UNAFIKIRI MUME WANGU ANAWEZA KUNIACHA? AACHE MWILI MZURI KAMA HUU?"
0 comments:
Post a Comment