
Diamond
Platinumz anaendelea kupaa katika ulimwengu wa muziki kimataifa ambapo
mwaka huu pia nyota yake imeng’aa kwenye tuzo kubwa za Black
Entertainment Television (BET 2016).
Mwimbaji
huyo ametajwa kuwania kipengele cha Best International Act: Africa
akichuana na wasanii wengine nguli...