Monday, May 2, 2016

2Face Ajibu Tuhuma za Kutembea na Tiwa Savage

 2Face amefunguka kwa mara ya kwanza tangu atuhumiwe kutoka kimapenzi na Tiwa Savage. Mume wa Tiwa, Tee Billz, ndiye aliyemrushia tuhuma hizo.

Siku kadhaa sasa ndoa ya Tiwa Savage na mumewe, Tee Billz imekuwa haipo kwenye hali nzuri huku Tee Billz akiwatuhumu Don Jazzy, 2Face na Dr Sid kutoka kimapenzi na mke wake kwa kutumia akaunti yake ya Instagram na kuandika: 
Within what period of time did you f*** Jazzy and Dr Sid. And I didn’t care because of the love I have for you. I looked at it that we all have a past even when at the same f**king time you were f***ing with 2face.”

Kupitia ukurasa wake wa Twitter 2Face ameandika: 

I’m so disgusted at some people that have been making distasteful jokes out of people’s real life heartbreaking predicament. GOD forgive u.”

Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger