Msanii wa Nigeria, 2Face amekuwa msanii wa kwanza wa nchi hiyo kupewa shahada ya heshima na chuo kikuu cha Igbinedion, Okada.
Shahada hiyo ya heshima kwa 2Face alikabidhiwa ikiwa imeambatana na
sherehe za kusherekea miaka 17 tangu kuanzishwa kwa chuo hicho.
Aliyekuwa Gavana wa jimbo la Edo, Chief Lucky Igbinedion ambaye ni
makamu wa chuo hicho alihudhuria kwenye sherehe hizo akiwa sambamba na
Prof. Sir. Victor Uwaifo na mchekeshaji maarufu wa nchi hiyo Maleke.
0 comments:
Post a Comment