Showing posts with label siasa. Show all posts
Showing posts with label siasa. Show all posts

Friday, May 20, 2016

Kigogo wa CCM Ataka Maalim Seif Sharif Hamad Akamatwe

Kigogo wa CCM aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Sukwa Said Sukwa amevishauri vyombo vya dola visiwani Zanzibar kumchukuliwa hatua haraka Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kwa kauli yake aliyoihusisha na...
Share:

Wednesday, May 18, 2016

Trump: Sitaelewana Kabisa na Waziri Mkuu wa Uingereza Nikiingia Madarakani

Mgombea anaewania urais nchini Marekani Donald Trump ameonya kuwa hatakuwa na uhusiano mzuri na waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron Ikiwa atakuwa rais wa Marekani.Mwezi Disemba, Bwana Cameron alimtaja Trump kama mtu mwenye “ubaguzi, mjinga, na mwenye makosa” kufuatia kauli yake kwamba ataweka...
Share:

Bavicha Walaani Hotuba ya Godbless Lema Kuzuiwa Bungeni.....Wataka Waziri Kitwanga Ajiuzulu na Akigoma Awajibishwe

Wakati uchunguzi wa kampuni ya Lugumi inayodaiwa kushindwa kutekeleza mradi wa utambuzi wa vidole kwenye vituo vya polisi ukiendelea, Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Charles Kitwanga kujiuzulu wadhifa wake kupisha uchunguzi huo. Limesema ...
Share:

Monday, May 16, 2016

UVCCM Wafikishana Polisi

Sakata la uuzwaji kinyemela wa zaidi ya hekari 200 za shamba la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Iringa limechukua sura mpya baada ya aliyekuwa katibu wa mkoa huo, Ally Nyawenga kukamatwa na polisi. Shamba hilo lililopo eneo la Igumbiro, nje kidogo ya mji wa Iringa,...
Share:

Friday, May 13, 2016

Frederick Sumaye Ateuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu Ya CHADEMA

Waziri Mkuu Mstaafu,Fredrick Sumaye ameteuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Mwenyekiti wa Chadema – Taifa Freeman Mbowe,amekiambia Kikao cha Kamati Kuu jana kuwa, anampendekeza Sumaye kuwa mjumbe wa CC kwa lengo la kuimarisha chama hicho. Amesema,...
Share:

Chadema Waungana na CUF Kutomtambua Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza rasmi kutoitambua Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), inayoongozwa na Dk Ali Mohamed Shein.  Mbali na kutoitambua Serikali hiyo, chama hicho kimesema leo kitatoa mkakati mzito wa namna ya kushughulikia suala la matangazo...
Share:

Wabunge 53 Chadema na CUF Wajitoa TWPG Baada ya Kutoombwa Radhi na Mbunge wa CCM Aliyedai Wamepata Ubunge Kwa Kufanya Mapenzi

WABUNGE wanawake 53 wa kambi ya upinzani kutoka vyama vya CUF na Chadema wamejitoa kwenye Umoja wa Wabunge Wanawake (TWPG) baada ya kutoombwa radhi na Mbunge la Ulanga, Godluck Mlinga (CCM) aliyesema wabunge hao kutoka Chadema walipata ubunge kwa njia ya mapenzi. Mlinga alisema wabunge...
Share:

CCM Yakanusha Kuhusika na Utapeli

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimelaani vikali tabia ya baadhi ya watu wanaotumia vibaya jina la Chama hicho kuwatapeli wananchi kutoa fedha ili wapatiwe nafasi za ajira katika Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) jambo ambalo sio sahihi. Kimewataka wafuasi wa Chama hicho na wananchi...
Share:

Thursday, May 12, 2016

Video: Mpinzani wa Museveni, Dr Kiiza Besigye Akamatwa Baada ya Kujiapisha Kuwa Rais

Mpinzani mkuu wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, Dk. Kizza Besigye ambaye amekuwa akipinga ushindi wa Rais huyo, amekamatwa na polisi wa nchi hiyo baada ya jana kujiapisha kuwa Rais ikiwa ni siku moja tu (leo) kabla ya Museven kuapishwa. Haijulikani ni vipi Dr Kiiza Besigye alikwepa vizuizi ...
Share:

Chadema wabeza utumbuaji majipu wa Magufuli, wadai bora Kikwete

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dk Vincent Mashinji ameponda mtindo wa utawala wa Rais John Magufuli wa utumbuaji wa majipu akisema umekosa dira na kinachoendelea ni utashi wa kisiasa na kukurupuka. Kazi kubwa aliyoifanya Rais Magufuli tangu aingie madarakani,...
Share:

Tuesday, May 10, 2016

Chadema Kuijadili Serikali ya Rais Magufuli

Kamati Kuu ya Chadema itakutana mjini Dodoma katika kikao chake cha kikatiba kuanzia Mei 11 Jumatano na Alhamisi kitakachojadili mwenendo wa Serikali ya CCM chini ya Rais John Magufuli. Taarifa iliyotolewa leo na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano, Tumaini Makene imesema kikao...
Share:

Chadema: Bunge la Sasa Kibogoyo Limeng'olewa Meno na Serikali

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Dk Vincent Mashinji amesema kitendo cha Serikali ya Awamu ya Tano kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya Bunge ni sawa na kuling’oa meno bunge hilo.Tofauti na mikutano miwili iliyopita ya Novemba 2015 na Januari/ Februari 2016, Serikali hii inayoongozwa...
Share:

Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari Ajisalimisha Polisi, Ahojiwa Kwa Masaa 6

Polisi wilayani Arumeru jana iliwashikiliwa kwa muda mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na madiwani 35 wa Chadema kwa tuhuma za kuvamia eneo na kuharibu mali.   Viongozi hao, wiki iliyopita walivunja uzio wa mabati uliojengwa jirani na halmashauri na mfanyabiashara Itandumi...
Share:

Monday, May 9, 2016

Bush Asema Hatampigia Kura Donald Trump

Aliyekuwa mgombea wa urais wa tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani, Jeb Bush amesema hatampigia kura Donald Trump katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika nchini humo Novemba mwaka huu. Bush alisema kuwa Trump hana tabia wala mienendo ya kuwa Rais wa Marekani. ‘‘Marais wa...
Share:

Lowassa: Bado Nipo Nanyi Kuwaletea Maendeleo

Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amewahakikishia wananchi wa Monduli kuwa bado yupo nao katika kuwaletea maendeleo. Lowassa ambaye alikuwa mbunge wa Jimbo la Monduli karibu miongo miwili enzi akiwa mwanachama wa CCM, alisema juzi kuwa bado atashirikiana na wananchi wa jimbo hilo. Lowassa...
Share:

UKAWA Waigomea Serikali Kuhamishwa Machinga Katikati ya Jiji la Dar es Salaam

 Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Isaya Mngurumi Sakata la kuhamishwa kwa wafanyabiashara wadogo katikati ya Jiji la Dar es Salaam limeingia mdudu baada ya madiwani wa Ukawa kugomea uamuzi uliotolewa na uongozi wa jiji hilo. Uamuzi huo uliotolewa na Mkurugenzi wa Manispaa ya...
Share:

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger