Kundi
maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa
bongofleva Diamond Platnumz leo walipata mwaliko wa kuingia Bungeni
Dodoma ambapo mastaa hawa wapo Dodoma kwa ajili ya kupiga burudani Chuo
kikuu cha Dodoma.
Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger
0 comments:
Post a Comment