Showing posts with label WEMA. Show all posts
Showing posts with label WEMA. Show all posts

Thursday, May 19, 2016

Wema Sepetu Afunguka Haya Kuhusu Alikiba

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu amefunguka na kusema kuwa msanii Alikiba ni mtu wa kumuacha kutokana na uwezo wake wa kuimba na namna ambavyo anaweza kuipangilia sauti yake kwenye muziki. Wema Sepetu amezidi kuonyesha mapenzi aliyonayo kwenye kazi za msanii Alikiba na kusema huwa zinamkosha...
Share:

Wednesday, May 18, 2016

Idris Sultan Amwandikia Wema Sepetu Ujumbe Mzito

Uhusiano wao umepitia misukosuko mingi ikiwemo kuachana mara kadhaa lakini Idris Sultan na Wema Sepetu hawajalikatia tamaa pendo lao. Ni muda mrefu tangu Idris aandike kitu kwenye mitandao ya kijamii kuhusu penzi lake na Wema baada ya kudai wameamua kuuweka uhusiano wao private kwa sasa. Lakini...
Share:

Friday, May 13, 2016

Mpambano Nani Mwenye Makalio Makubwa… Wema Amjibu Zari

Wema Sepetu na jamaa yake anayedaiwa kuwa ni msanii. Miezi kadhaa iliyopita liliibuka gumzo kubwa mtandaoni kati ya Timu Wema na Timu Zari kuhusu nani kati ya Wema Sepetu na Zarinah Hassan ‘Zari’ ana wowowo kubwa. Katika mjadala huo kila upande ulikuwa ukivutia kwake huku mara nyingi...
Share:

Thursday, November 14, 2013

DIAMOND AJIZULIA BALAA INSTAGRAM KUTOKA KWA FANS WA WEMA BAADA YA KUTANGAZA KUTOMUOA KIPENZI CHAO...

.Mwanamuziki Diamond Platnumz aka Rais wa Wasafi anaetamba kwa wimbo wake No. 1 haishi drama na warembo wa mujini.Baada ya hivi  karibui kuonekana na Wema na kuwapa fans wake na wa Wema matumaini kwamba wamerudiana ghafla ameibuka kupitia Global Publishers na kusema “Najua wengi wanahisi...
Share:

"SIO BONGO MOVIE NZIMA,BAADHI TU YA WATU AMBAO WANAUELEWA NA UPEO MDOGO AMBAO WALIAMUA KUTOKUJA KWENYE MSIBA..." WEMA

..Kupitia kipindi chake cha ‘In My Shoes’ cha jana, Wema Sepetu alieleza jinsi alivyojisikia baada ya baadhi ya waigizaji wenzie wa Bongo Movie kugoma kuhudhuria msiba wa baba yake, Balozi Isaac Abraham Sepetu, mwishoni mwa mwezi uliopita kwa madai kuwa yeye hakuwa akifanya hivyo kwenye misiba ...
Share:

Sunday, November 10, 2013

WEMA SEPETU WATAZAMAJI WA SHOW YAKO WENGI NI WATANZANIA WA KAWAIDA SANA, SASA KINGEREZA KINGI CHA NINI?

Ilani: Ukitaka kuangalia kipindi cha reality TV cha Wema Sepetu, ‘In My Shoes’ na shule hukwenda, nakushauri ukae na kamusi ya Kiingereza – Kiswahili ili uweze kwenda naye sawa. Hii ni kwasababu, asilimia 50 ya lugha anayoitumia mrembo huyu ni Kiingereza ambayo kwa Watanzania wengi imewapita kushoto.Nimesikia...
Share:

Saturday, November 9, 2013

MAMA DIAMOND AINGILIA KATI PENZI JIPYA KATI YA DIAMOND NA WEMA.....!!

Mama wa Msanii wa ngoma ya Number One, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ ameingilia kati penzi lililofufuka upya kati ya mwanaye na staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu.Habari za chini ya kapeti zilitonya kuwa baada ya kuambiwa na kuoneshwa picha za Diamond akiwa kimahaba na...
Share:

Thursday, November 7, 2013

WEMA AIPASUA BONGO MUVI BAADA YA KUSUSIWA MSIBA WA BABA YAKE....

KLABU ya mastaa wa filamu jijini Dar es Salaam, Bongo Movie ‘Bongo Muvi’ imepasuka katikati kisa kikidaiwa kuwa ni lile tamko linalodaiwa kutolewa na mwenyekiti wa klabu hiyo, Vincent Honorati Lasasi Kigosi ‘Ray’ kuwa mwanachama yeyote wa kundi hilio asitie miguu kwenye msiba wa baba mzazi wa mwenzao,...
Share:

Tuesday, November 5, 2013

MUONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU BAADA YA MSIBA WA BABA YAKE....

...
Share:

Friday, November 1, 2013

WASANII WAHASWA KUMFARIJI WEMA SEPETU..!!

Watanzania hususan wadau wa burudani wameombwa kumpa sapoti mwigizaji na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu katika kipindi kigumu alichonacho kufuatia kupata msiba wa baba yake mzazi,  Balozi Isaak Abraham Sepetu. Meneja wa mwigizaji huyo, Martin Kadinda ameliambia...
Share:

Friday, October 18, 2013

WADAU WAPITISHA NDOA YA WEMA SEPETU NA DIAMOND....

Wadau na mashabiki wa mastaa wawili nchini, Wema Sepetu wa Bongo Movie na Nasibu Abdul ‘Diamond’ wa muziki wa kizazi kipya, wamebariki ndoa ya wapenzi hao kwa kusema kuwa ni watu wanaoendana na kutegemeana kwa kiasi kikubwa.Mwanzoni mwa wiki hii, Wema na Diamond walitupia katika kurasa zao za mitandao...
Share:

"NILISHAWAHI KUROGWA NA NAAMINI USHIRIKINA UPO....." WEMA SEPETU

STAA wa filamu za Kibongo Wema Sepetu amefunguka kuwa katika maisha yake aliwahi kufanyiwa mambo ya ushirikina(kurogwa) bila kufafanua alirogwa na nani na alipatwa na nini au ugonjwa gani. Wema amefunguka kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa kila jumatano kupitia East African TV ambapo...
Share:

Monday, October 14, 2013

DIAMOND KUBADILISHA WANAWAKE NDIO MAISHA YAKE ALIYOJIWEKEA KWA KUWA AMESHAZOEA KUONEKANA KATIKA MAGAZETI KILA WAKATI...MAMA DIAMOND

MAMA mzazi wa mkali wa ngoma ya Number One, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasim ‘Sandra’ ameingilia kati penzi lililofufuka upya kati ya mwanaye na staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu.Habari za chini ya kapeti zilitonya kuwa baada ya kuambiwa na kuoneshwa picha za Diamond akiwa kimahaba...
Share:

Thursday, October 10, 2013

"DIAMOND NA WEMA SEPETU WAMERUDIANA...." NI MOVIE KWELI AMA PUBLICITY STUNT?

Let’s face this big elephant in the room…Diamond Platnumz na Wema Sepetu wana agenda ya siri. Naiita agenda ya siri kwakuwa kuna maswali makubwa mawili ambayo mimi na watu wengine wengi tunahisi Diamond anakificha kuhusu uhusiano wake na Wema Sepetu.Swali la kwanza ni Diamond na Wema wamerudiana tena?...
Share:

Tuesday, October 8, 2013

WEMA, DIAMOND WAMTESA PENNY....

Wema Isaac Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ enzi za penzi lao.ISHU ya wapenzi zilipendwa, Wema Isaac Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kurudiana inadaiwa kumtesa mpenzi wa sasa wa Diamond ambaye ni mtangazaji wa DTV, VJ Penniel Mungilwa ‘Penny’ hivyo kulazimika kukiri kuwa hajawahi...
Share:

Monday, May 27, 2013

NEY WA MITEGO AFUNGUKIA ISHU YA KUPIGWA KIBUTI NA WEMA SEPETU...!!

WIKI iliyopita tulimleta kwenu msanii wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma aliyomshirikisha Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ya Muziki Gani, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ili umchambue ambapo mlituma maswali, hapa anajibu na kufafanua moja baada ya lingine. SHUKA NAYO… PONGEZINakukubali sana kaka...
Share:

Saturday, May 25, 2013

"MIMI NA WANAUME DAMU DAMU".....WEMA SEPETU

HABARI zinasema kwamba staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu, ‘Beautiful Onyinye’ ameongeza idadi ya wanaume katika uhusiano wake na kuzidi kuwa katika chati ya magazeti ya Bongo, Risasi Jumamosi lina habari kamiliWema ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Endless Fame, anadaiwa kuwa beneti...
Share:

Monday, May 20, 2013

WEMA SEPETU APATA SHAVU DARLING HAIR, SASA KUWA MSANII WA BONGO ANAYEINGIZA MKWANJA MREFU KULIKO WOTE..!!

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu Wema Sepetu amepata mchongo wenye pesa ndefu kutoka kampuni ya nywele ya Darling Hair Tanzania.Kwa mujibu wa meneja wake, Martin Kadinda mkataba huo utamfanya Wema awe staa mwenye thamani kubwa zaidi Tanzania ingawa amesema si kawaida yao kutaja kiasi cha...
Share:

Saturday, May 11, 2013

"BILA MILIONI 10 HAUMPATI WEMA KWENYE FILAMU YAKO"...!!

MWIGIZAJI Mahiri wa filamu Bongo Wema Abraham Sepetu ndiye msanii anayelipwa fedha nyingi kuliko msanii yoyote wa filamu katika kushiriki katika filamu kutoka kwa watayarishaji wengine ili uweze kumshirikisha Wema Sepetu katika filamu yako kama mwigizaji bila kujali anacheza scene ngapi gharama...
Share:

Tuesday, May 7, 2013

MDOGO WA WEMA SEPETU APIGWA CHINI MISS KILIMANJARO....

MREMBO, Winnie Shayo, amefanikiwa kutwaa taji la Redd’s Miss Hai 2013 katika shindano lililofanyika katika Hoteli ya Snow View iliyopo Bomang’ombe, mwishoni mwa wiki mjini hapa baada ya kuwashinda wenzake kumi akiwamo mdogo wa Wema Sepetu. Nafasi ya pili ilichukuliwa na mshiriki Mary Chemponda...
Share:

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger