Saturday, December 15, 2012

VIDEO: JAMAA AMPA KICHAPO DEMU WAKE HADHARANI HUKU AKIWA UCHI WA MNYAMA!!



VIDEO  Nimetumiwa na mmoja kati ya Wasomaji wakubwa kabisa wa Blog hii akionesha masikitiko yake  kuhusiana na Matendo ambayo yanafanyika katika Jamii zetu... Kama inavyoonesha video hii ni Kwamba Jamaa inaonekana alikosa maelewano mazuri na Mwenza wake na Hivyo Kusababisha matatizo makubwa kabisa na vituko katika Jamii

Kitu cha kushangaza ni kwamba Jamaa huyo alipoamua kumwangushia Kichapo kizito huku akiwa Uchi wa mnyama kabsaaaa... Kama kawaida ya Blog Yetu mi sina mengi zaidi ya kukuachia na Wewe uwe jaji.

Angalia Video yenyewe hapo chini!!


Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger