Sakata la Mwanamuziki Shilole kucheza huku baadhi ya sehemu za matiti zikiwa wazi limechukua sura mpya Bungeni jana kufuatia Naibu Waziri wa Habari vijana na Utamaduni na Michezo Juma Nkamia kutangaza kuwa inasubiria uamuzi wa Baraza la sanaa Taifa (Basata).
Aidha, Nkamia amesema suala la shilole hivi sasa lipo chini ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambapo mara baada ya kumaliza mahojiano naye litapelekwa wizara ya habari vijana na utamaduni na michezo kwa hatua nyingine zaidi.
Hivi karibuni Shilole aliwaomba msamaha watanzania kwa madai kuwa anajutia kutozingatia maadili katika onesho hilo lililofanyika nchini Ubelgiji na kuzua gumzo nchini Tanzania.
0 comments:
Post a Comment