
Maswali yalikua ni mengi na mashabiki
walitaka kufahamu kwanini mwigizaji Lulu kutoka kwenye kiwanda cha
filamu Tanzania hakumpost kwenye Instagram kama ishara ya kuonyesha
ulimwengu kwamba anamkumbuka Marehemu Steven Kanumba na vilevile hakuhudhuria kwenye kaburi la Kanumba kama walivyofanya...