Heshima kwenu wadau.mchezo niliunza mwaka 2008.mpaka .....nikiwa boarding kuuacha nilishindwa....nilivyooa nikapunguza kasi.....sasa mke yupo likizo takriban miez 2..mpaka muda huu naandika Ujembe huu najiandaa kupiga cha tano.....natamani niache.je nitumie njia gani?
0 comments:
Post a Comment