Showing posts with label JAYDEE. Show all posts
Showing posts with label JAYDEE. Show all posts

Friday, May 20, 2016

Gardner Amjibu Lady JayDee Kuhusu Kumtaka Kumuomba Radhi Hadharani

Hatimaye mtangazaji wa Clouds Fm, Gardner G. Habash amemjibu aliyekuwa mkewe, Lady Jay Dee, aliyemtaka aombe radhi ndani ya siku saba kwa kauli aliyoitoa iliyodaiwa kuwa imelenga kumdhalilisha. Katika majibu yake amekana madai hayo. Siku chache zilizopita, Gardner alionekana katika kipande...
Share:

Wednesday, April 27, 2016

Ray C Arudia madawa ya kulevya... Jide asema anahitaji Marafiki Sahihi Katika Kipindi Hichi Kigumu

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ a.k.a Jide, amesema msanii mwenzake, Rehema Chalamila, anahitaji marafiki sahihi ambao watamsaidia katika kipindi hiki kigumu.Ray C ambaye amewahi kujihusisha na madawa ya kulevya, kwa sasa ameripotiwa kurejea kwenye matumizi hayo huku...
Share:

Monday, April 25, 2016

Jay Dee aweka wazi maana ya ‘Ndi ndi ndi’

MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Judithi Wambura ‘Lady Jay Dee’, amesema maana halisi ya wimbo wake wa ‘Ndi ndi ndi’ ni kwamba ‘mimi ni kitu na wewe si chochote’. Wimbo huo mpya umewapa wakati mgumu mashabiki wake, hivyo ameona ni bora aweke wazi maana halisi ya wimbo huo. “Wimbo umekuwa...
Share:

Tuesday, May 28, 2013

ADAM MCHOVU ATUPIA PICHA ZA UCHI ZA LADY JAYDEE.....WATU WAMSHAMBULIA KWA MATUSI

Kutoka facebook muda huu Acc ya Adam Mchomvu imepost hivi nanukuu " Picha za uchi alizopiga Lady Jay D bofya hapa" then akaweka link, ambayo binafsi sijaielewa na  sikuona umuhimu wa kuifungua. Account hii inayotumia jina la Adam Mchomvu sijajua kama ni yake ama fake ..Na kama ni ...
Share:

Monday, May 27, 2013

UPDATE: LWAKATARE AKWAMA TENA KUPATA DHAMANA, KESI YA JAYDEE YARUSHWA MPAKA JUNE 13.

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare na mwenziye Ludovick Joseph wamekwama tena leo Jumatatu, Mei 27 kupata dhamana baada ya Hakimu Mkazi katika Mahakama ya Kisutu, Sundi Fimbo kueleza kuwa Hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Aloyce Katemana, bado yupo likizo tangu wiki tatu...
Share:

UPDATE: KESI YA LADY JAYDEE NA LWAKATARE ZITAUNGURUMA LEO MAHAKAMANI

WAKATI kesi ya Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare ikitarajiwa kusikilizwa leo Mei 27 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Kesi ya msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Judith Wambura (Lady JayDee) pia inatarajia kusikilizwa tarehemu hiyo katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni...
Share:

Sunday, May 19, 2013

MSIKILIZE PROFESA J AKIFUNGUKA KUHUSU BIFU YA JAYDEE NA CLOUDS FM....

WIKI hii kwenye Funguka na Risasi tunaye mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule, ‘Profesa Jay’ ambaye anafunguka juu ya bifu kati ya Judith Wambura ‘Jide’ na Mkurugenzi wa Vipindi na Utafiti wa Clouds Media, Ruge Mutahaba.Profesa Jay naye ametajwa katika sakata hilo kutokana na kushirikishwa...
Share:

Friday, May 17, 2013

"TAFUTA HELA MBWA WEWE....HATA HELA YA SIGARA HUWA UNAOMBA CLUB"..HILI NI TUSI LA JAYDEE KWA T.I.D BAADA YA KUGOMA KUSHIRIKI KWENYE SHOW YAKE...!!

TID a.k.a MNYAMA  leo amejikuta  akiambulia  matusi  ya  nguoni  baada  ya kuitosa  show  ya  Lady Jaydee  na  kuandika  chenga  zake  katika  Account yake ya Facebook.... Hizi  ni  comment  za ...
Share:

HUU NDIO WARAKA WA MASHITAKA YANAYO MKABILI MSANII LADY JAYDEE MASHTAKA YALIYOFUNGULIWA NA JOSEHP KUSAGA NA RUGE MTAHABA....!!

 HUU NDIO WARAKA WA MASHITAKA YANAYO MKABILI MSANII LADY JAYDEE MASHTAKA YALIYOFUNGULIWA NA JOSEHP KUSAGA NA RUGE MTAHABA... JE' HII NI WAZI JIDE NI KOMANDO MPAKA JAMBO LILE LINAFIKIA HATUA HII...
Share:

Wednesday, May 15, 2013

BAADA YA BIFU NA CLOUDS FM KUWA ZITO, LADY JAYDEE AFIKIRIA KUOMBA URAIA WA KENYA...!!

Ni masaa machache tu yaliyopita mwanamuziki LADY JAYDEE ameandika kutaka kuihama nchi yake  na kuelekea nchi jirani ya  KENYA ...Lady Jaydee anafikiria kwenda kuomba uraia KENYA ama MALAWI kwa kile kinachoonekana kuwa ni kutaka  kujinasua  katika  migogoro  inayomkabili...
Share:

Tuesday, May 14, 2013

PICHA YA LADY JAYDEE ALIPOWASILI MAHAKAMANI...!!

Jide na Mumewe wakiwasili mahakamani. MWANAMUZIKI Mahiri wa Bongo Fleva, Judith Wambura 'Lady Jaydee' leo alifika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kufuatia kufunguliwa kesi ya madai katika mahakama hiyo. ...Katika hati ya madai hayo, mwanamuziki huyo anashitakiwa na viongozi...
Share:

Monday, May 13, 2013

UPDATE: MAHAKAMA YAMPIGA 'STOP' JAYDEE KUIKASHIFU CLOUDS FM...!!

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee(Pichani) muda si mrefu amepokea hati yake ya mashtaka kutoka katika mahakama ya Kinondoni ambapo ameshtakiwa na Mkurugenzi wa vipindi wa Clouds FM baada ya kuwa na kutofautiana kwa muda.Jaydee ambaye alikuwa Baraza la...
Share:

Sunday, May 12, 2013

LADY JAYDEE KURIPOTI MAHAKAMANI KESHO

MWANAMUZIKI nyota wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ kesho (Jumatatu) anatarajia kuripoti Mahakama ya Kinondoni  kufuatia taarifa alizofikishiwa Meneja na mume wa msanii huyo, Gadna G Habash ‘Captain’.Gadna alisema ni kweli wamepata taarifa za kutaarifiwa Lady Jaydee kufika...
Share:

Saturday, May 11, 2013

NAIBU WAZIRI AINGILIA KATI UGOMVI WA LADY JAYDEE NA CLOUDS FM....RUGE AKIMBILIA MAHAKAMANI

IKIWA ni siku moja tu tangu Naibu Waziri wa Habari  Michezo Vijana na Utamaduni Amos Makala kutangaza hadharani kulivalia njuga suala la mzozo kati ya Mkurugenzi wa wa Kampuni ya Clouds Media Group Ruge Mutahaba  na msanii nyota wa kike wa Bongo Fleva Judith ‘Wambura Lady Jaydee’ ...
Share:

Friday, May 10, 2013

LADY JAYDEE AFUNGULIWA KESI MAHAKAMANI.....JOTO LIMEPANDA NA ANAMUOMBA MUNGU ASIKAMATWE MAY 31

Bado joto ya show ya mika 13 ya Lady JayDee inazidi kupanda kutokana na mengi yanayohofiwa kutokea siku hiyo.  Kwanza kulikuwa na tetesi kuwa huenda Clouds Fm wakafanya show nyingine siku hiyo, kitu ambacho Ruge Mutahaba alikifafanua vizuri kwa kusema mtu ukiwa na shughuli haimaanishi kuwa wengine...
Share:

Sunday, March 31, 2013

LADY JAYDEE ADAI KUWA CLOUDS FM NI WANAFIKI....WANATAKA WAHONGWE ILI WAPIGE NYIMBO ZA WASANII

Lady Jay DeeEast African popular musician Lady Jay Dee ameamua kuwapa modongo Clouds fm kupitia Twitter leo kutokana na wimbo wake mpya uliotoka hivi karibuni Joto hasira kutopigwa katika radio hiyo. Jay dee ameandika kuwa radio ya watu isiyopiga nyimbo za wasanii wa watu ila wasanii wao tu....
Share:

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger