
Kwa mujibu wa chanzo kilichoshuhudia tukio hilo na kuomba hifadhi ya jina lake, marehemu anayekadiriwa kuwa na umri wa


Langa
Chanzo hicho kilidai, marehemu alikuwa akionywa mara kwa mara na ndugu zake lakini alikuwa akikaidi hali ambayo ilisababisha akamatwe na kuswekwa jela kwa miezi kadhaa kabla ya kuachiwa.“Marehemu alitoka Segerea juzi Jumatatu (Machi 25) na Jumanne akaanza kutumia tena dawa za kulevya kama kawaida, akajidunga vidonge kumi kwa mpigo.

Aisha Madinda
“Akaweka kete tatu kwenye bomba la sindano tayari kwa kujidunga ndipo alipozidiwa na kupatwa na umauti akiwa bado hajakamilisha zoezi hilo,’’ kilidai chanzo hicho.Kabla ya marehemu hajazikwa katika makaburi ya Kawe, askari walifika katika eneo hilo ambapo walibainisha kuwa kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kutumia madawa ya kulevya katika eneo hilo.

Msafiri Diof
“Historia inaonesha kuna wimbi kubwa la wasanii ambao wamekuwa wakitumia madawa ya kulevya kwa siri kubwa,” alisema afisa mmoja wa polisi aliyeomba hifadhi ya jina kwa kuwa siyo msemaji.
0 comments:
Post a Comment