Saturday, April 6, 2013

"WAREMBO WANASWA WAKICHAPANA MAKONDE HUKU NYETI ZAO ZIKWA NJE,KISA KIKIWA NI BWANA"

Hii Katika hali ya kushangaza kabisa Mabinti wawili ambao ni Wanafunzi wa Chuo hapo Mjini Nairobi waliponaswa na Camera zetu wakichapana makonde hadharani huku sababu ikielezwa kuwa ni Boyfriend wao ambaye alionekana akitembea nao wote kwa nyakati tofauti tofauti...


Balaa hilo lilitokea kipindi mabacho moja kati ya wasichana hao alipomnasa Bwana wake huyo akijivinjari na rafiki yake ambaye ni rafiki wake wa karibu...Ndipo uvumilivu ulipomshinda mwanadada huyo na kuanza kumshambulia rafiki yake huyo huku Boyfriend wao huyo ambaye alikuwa akiwachanganya akiwatazama kwa kejeli...!!

Shuhuda wetu alikuwa karibu  na kushuhudia mchezo huo alidai ya kuwa wanadada hao walichaniana Nguo na hivyo kusababisha raia kuyaona maumbile yao(Nyeti) bila shaka yoyote.

Ugomvi huo ulidumu kwa muda kidogo mpaka walipokuja walinzi waliokuwa karibu na kuwaachanisha wanadaada hao huku kila mmoja akiwa amejeruhiwa...!!

Ni aibu kubwa wasomi kufanya upuuzi kama huu mbele ya halaiki kubwa namna hii...

Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger