Monday, March 11, 2013

'BILA DIAMOND SINA MVUTO, NA WALA SIPENDEZI'.......WEMA.

BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu amefunguka kuwa anapenda kuvaa urembo wenye madini ya almasi (diamond) kwani humpendeza kuliko madini mengine.

 
Wema Sepetu.
Akizungumza na Stori 3, Wema alisema amekuwa akivaa madini mbalimbali ila tangu alipoanza kuvaa ya ‘diamond’, watu wake wa karibu wamekuwa wakimsifia kuwa anatoka chicha.
“Ukiniambia nichague madini kati ya silver, gold na diamond mimi nitachagua diamond kwani yananipendeza sana, bila kuyavaa nahisi sijapendeza,’’ alisema Wema.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger