Bahati! Siku
chache baada ya nyota wa sinema za Bongo, Wastara Juma kuripotiwa
kumwagwa na aliyekuwa mume wake, Sadifa Juma ambaye pia ni Mbunge wa
Jimbo la Donge kwa Chama Cha Mapinduzi, kuna habari kuwa, mtalikiwa huyo
ametolewa mahari kiasi kikitajwa kuwa ni shilingi milioni 5.
- Bwana mdogo Juma Mbega ambaye ni mcheza filamu na mfanyabiashara wa jijini Dar, anataka kumuoa Wastara baada ya kumuona anateseka tangu kifo cha aliyekuwa mume wake, Sajuki.
- Akili kutoa mahali ya mil 5
- Aahidi kutuliza maumivu yote ya Wastara yaliyomtesa tangu kifo cha Sajuki.
- Ajinadi kuitumia vyema nafasi ya aliyoiacha mbunge wa Zanzibar (Juma Sadifa).
- Afunguka ya moyoni.
- Akili kumfahamu Juma.
- Anena kuwa hawezi kurudisha hata senti tano kwa Sadifa.
- Asema ana uwezo wa kuolewa hata mara kumi.
- Sheria za Kiislam zinasemaje?
- Kwa nini aolewe na Juma?
- Historia ya Maisha yake ya ndoa je?
SOURCE: GPL
0 comments:
Post a Comment