Wednesday, April 3, 2013

Kajala Aamua Kujichora Tattoo ya Wema Sepetu Kumuenzi....!!




Kajala ameamua kuchora Tattoo yenye jina la WEMA mgongoni mwake  baada ya kutolewa faini ya Shilingi Milioni 13 na msanii mwenzake Wema Sepetu,

hii ikiwa kama ishara ya shukrani kwa rafiki yake kipenzi Wema Sepetu.


Kupitia ukurusa wake wa instagram Wema nae ameandika hivi:
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger