Saturday, December 15, 2012

HII NDIO VIDEO YA WANAFUNZI WANNE WALIOPIGWA NA KUCHOMWA MOTO NA WANAKIJIJI KWA TUHUMA ZA WIZI WA SIMU.


Huu  ni unyama uliotendwa na  wanakijiji kwa  wanafunzi wanne  wa chuo kikuu  cha UNIPORT  kwa tuhuma  za  wizi wa simu ......

Wanafunzi hao walifikia  hitimisho la maisha  ya  hapa duniani  baada  ya kupewa  kichapo kikali na  kisha kuchomwa moto.........

Mwenyezi mungu  awapumzishekwa amani......

Kama ilivyo kawaida yetu Blog hii inaendelea kukupa habari moto moto,  hatuongei sana LEO sana sana tunakuachia na wewe uwe shahidi wetu...

ANGALIA VIDEO yenyewe hapo chini.. 



video 
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger