Showing posts with label AJALI. Show all posts
Showing posts with label AJALI. Show all posts

Thursday, May 19, 2016

Mabaki ya Ndege ya EgyptAir Yapatikana

Duru za kampuni ya ndege ya EGYPTAIR zimesema kuwa wizara ya usafiri wa anga nchini humo imepokea barua rasmi kutoka kwa wizara ya maswala ya kigeni nchini Misri inayothibitisha kupatikana kwa mabaki ya ndege iliotoweka ya MS 804 karibu na kisiwa cha Karpathos. Hivyobasi kampuni hiyo imetuma...
Share:

Picha: Basi la Mwendo Kasi Lagonga na Kuua Mtoto Jijini Dar es Salaam

Basi la mwendo kasi ( DART)  limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita basi hilo Ajali hiyo imetokea leo katika  eneo la Shekilango jijini Dar es Sallam. Pikipiki iliyohusika kwenye ajali hiyo ...
Share:

Friday, May 6, 2016

Jengo La NSSF Akiba Lawaka Moto

  Jengo lililoko eneo la akiba posta jijini Dar es salaam limeripotiwa kuwaka moto kuanzia majira ya jioni na chanzo cha moto huo kinasemekana ni mtungi wa gesi kulipuka na kusababisha moto. Inasemekana hakuna madhara makubwa kutokana na zimamoto kufika kwa wakati katika eneo la tukio...
Share:

Wednesday, May 4, 2016

MAJANGA...Basi la Abiria Laingia Njia ya Mwendo Kasi na Kuligonga Basi la Dart

Daladala yaacha njia yake na kuingia kwenye njia ya mabasi ya mwendo kasi na kuligonga basi la mwendo kasi lililokuwa katika majaribio...Sipati picha huyo dereva watamfanya nini.... MAJANGA HAYA !...
Share:

Monday, May 2, 2016

Picha: Mtoto Aliyesaidia Uokoaji Ajali ya Basi la HBS Kuzawadiwa,RC Makalla Kumpeleka VETA Kusomea Ufundi

Mwonekano wa Basi la Hbs Express mara Baada ya kupata Ajali katika Eneo la Maji Mazuri katika Barabara ya kutoka Mbeya kwenda Chunya Wasamalia wema wakiokoa watu waliokuwa wamenasa ndani ya Basi hilo Askari wa Usalama Barabarani akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amosi...
Share:

Saturday, April 30, 2016

PICHA 11 za Jengo la ghorofa 6 lililoporomoka na kuua watu 15 huko Nairobi Usiku wa Jana

Nairobi Nchini Kenya mvua zinazoendelea kunyesha wiki hii zimesababisha vifo ambapo mpaka sasa imeripotiwa watu 15 kufariki na kati ya hao 7 wamefariki baada ya jengo la ghorofa sita kuporomoka usiku wa April 29 2016 eneo la Huruma na zaidi ya watu 120 wameokolewa ...
Share:

News Alert: Abiria Wanusurika Kifo Ajali ya Ndege Mjini Bukoba Leo

Watu kadhaa wamenusurika kufa, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria mali ya Shirika la Ndege la Auric Air kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Manispaa Bukoba, Mkoani Kagera ilipokuwa ikitua.  Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutokea Jijini Mwanza ,tukio limetokea majira ya saa nne asuhuhi...
Share:

Wednesday, September 30, 2015

Ajali! Basi la Ngorika laua wawili Na Kujeruhi wengine 33

Watu wawili wamefariki dunia akiwemo askari wa Jeshi la wananchi (JWTZ) na wengine 33 kujeruhiwa baada ya basi mali ya kampuni ya Ngorika kuigonga kwa mbele Toyota Costa eneo la Misugusugu mjini Kibaha . Ajali hiyo imetokea majira ya saa 1.30 jana asubuhi wakati basi hilo likitokea Dar...
Share:

Thursday, December 5, 2013

PICHA ZINATISHA: MZEE MMOJA AGONGWA NA GARI NA KUSAGIKA MGUU ALIPOKUWA ANAVUKA BARABARA,KILIMANJARO....

.MZEE huyu wa jamii ya kabila la wamasai aliyetambulika kwa jina la ''Tulito'' Mkazi wa KIA njia panda ya kuelekea uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airpot, amepata ajali mbaya ya kugongwa na fuso alipofanya jaribio la kuvuka barabara hiyo ya lami ambayo magari huenda mwendo...
Share:

Tuesday, December 3, 2013

PICHA: AJALI MBAYA YA BASI LA URAFIKI...!!

.Wakazi wa kijiji cha Ndolela Tarafa ya Isimani wilaya Iringa vijijini wakiangalia ajali ya Basi la abiria la Urafiki  T 594 ABM lililoanguka kijijini hapo jana likitokea Iringa kuelekea Dodoma. PICHA NA SAID NG'AMI...
Share:

PICHA ZINATISHA! MWILI WA MAREHEMU PAUL WALKER WA FAST AND FURIOUS WAONYESHWA....

.Paul walker enzi za uhai wakeKwa mara ya kwanza mwili wa marehemu Paul Walker wa Fast 5 and Fast & Furious 6 umeonyeshwa kwa ulivyoonekana hapo juu...
Share:

AJALI! TRENI YAUA NA WENGINE 60 KUJERUHIWA.....

Treni iliyoua watu wa nne na kuacha majeruhi 60 na change NY katika eneo la Bronx NY,  Chanzo cha ajali hii inasemekani ni speed na mbaya zaidi ilikuwa kwenye corner. Ni mtihani wa kwanza kwa Mayor mpya wa New York Bill de Blasio. Treni hii ni moja ya treni zinazojulikana kwa jina la Metro...
Share:

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger