Watu kadhaa wamenusurika kufa, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria mali ya Shirika la Ndege la Auric Air kupata ajali katika Uwanja wa Ndege wa Manispaa Bukoba, Mkoani Kagera ilipokuwa ikitua.
Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutokea Jijini Mwanza ,tukio limetokea
majira ya saa nne asuhuhi ya leo Jumamosi April 30, 2016. Chanzo cha
ajali hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa. Pichani ni Rubani wa Ndege
hiyo akiwasaidia abiria wake kutoka kwenye Ndege hiyo.
0 comments:
Post a Comment