Akichangia kwenye bajeti ya mali asili na utalii amewaambia wabunge na
serikali kuwa hawajawahi kuweka malengo haswa ya kutatua matatizo ya
wafugaji na wakulima, wamekuwa waoga, wanafiki na wakujipendekeza.
Ameongezea CCM kwa wingi wao hawana sababu ya kuendelea kubaki madarakani kama wameshindwa kuishauri serikali kwa ukweli.
Ameongezea CCM kwa wingi wao hawana sababu ya kuendelea kubaki madarakani kama wameshindwa kuishauri serikali kwa ukweli.

0 comments:
Post a Comment