Tuesday, February 12, 2013

Hivi ndivyo Radi yapiga kanisa la St Peter’s Basilica, saa kadhaa baada ya Papa Benedict kutangaza kujiuzulu

Kanisa
Je! Hii ni ishara kutoka kwa Mungu? Sababu amini usiamini saa kadhaa baada ya Papa Benedict XVI kutangaza kuwa atajiuzulu radi kubwa ilipiga kwenye kanisa la St Peter’s Basilica.
Pope+Benedict+XVI+Pope+Benedict+XVI+arrives+9SBA5IV2gxel
Papa Benedict aliwashtua mabilioni ya waumini wa kanisa katoliki duniani kwa kutangaza kuwa atajiuzulu mwishoni mwa mwezi huu.
PAPA BENEDICT XVI KUJIUZULU FEB 28, NI TUKIO LA KWANZA TANGU MWAKA 1415
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger