Wednesday, November 21, 2012

MEZA YA BAA YAGEUZWA KITANDA CHA KUFANYIA UZINZI .....HII NI ZAIDI YA SODOMA JAMANI!!





KATIKA hali ya kawaida kabisa tendo la zinaa imezoeleka kabisa kuwa ni lazima liwe na mazingira fulani ambapo mara nyingi wahusika wamekuwa wakijifiha au kutaka FARAGHA ili wafanye tendo hilo kwa UTULIVU!

Lakini katika hali isiyo ya kawaida kabisa CAMERA  yetu ya GUMZO LA JIJI iliwanasa wapenzi wawili ambao walinaswa wakifanya TENDO hilo la aibu kati kati ya jiji kwenye BAR moja ambayo si marufu sana.


Wapenzi hao walionekana kujiamni zaidi wakati wakiyafanya hayo na hivyo kuplelekea watu kudhani ya kuwa labda ni pombe inaweza kuwa sababu na chanzo cha hayo yote.

Pombe hiyo ni pombe gani jamani mpaka ikufanye ewe  kiumbe  cha mwenyezi mungu kufanya upuuzi ama kuanika maungo yako mbele za jamii namna hii?

Taswira hii imeleta mshangao mkubwa miongoni mwa watu ambapo mambo mengi yakiwemo MAADILI kuporomoka yametajwa kuwa sababu kuu ya matukio ya ajabu kama haya!!

Tena nadhani tunataka sasa kushindana na ile LAANA ya SODOMA na GOMORA!!

BLOG HII INAAHIDI KUWALETEA NA KUFICHUA MAOVU MBALI MBALI YANAYOTOKEA KATIKA JAMII ZETU HIVI SASA!!



Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger