Tanzania kushinda mradi
wa kujenga bomba la mafuta ghafi kutoka Uganda kwenda Bandari ya Tanga
kwa ajili ya kusafirisha nchi mbalimbali duniani kumeonekana kuwanunisha
baadhi ya Wakenya ambao awali waliamini tenda hiyo ingeangukia mikononi
mwao, Amani linashuka na jambo.
Hilo lilibainika hivi karibuni kufuatia
mfanyabiashara mmoja wa Kenya aliye jijini Dar, John Ngugi kuzungumza na
Amani na kusema kuwa, Wabongo kupata mradi huo kumewanunisha baadhi ya
Wakenya kwa vile mradi huo utaingiza pesa nyingi sana kwa taifa.
MSIKIE HUYU
Kumbe ilikuwa itoke kwa Museven (Yoweri, Rais wa Uganda) mpaka Bandari ya Lamu au Mombasa.
Wakenya waduwaa bomba kuja Tanzania.
Wakenya wamezoea wakiona kitu kizuri cha Bongo wanakifanyia tangazo kwamba kiko nchini Kenya huku mitandao ya kijamii ikidaiwa kucheza michezo hiyo.
kama Mlima Kilimanjaro, Bonde la Olduvai Gorge, Daraja la Kigamboni.
- Mbinu za Ushindi
Mbinu ya ushindi ya kulinasa bomba hilo yabainika - A-Z, Rais Magufuli alivyompokonya tonge mdomoni Rais Kenyatta.
- Ubora na usalama wa Bandari ya Tanga wachangia.
- Umakini wa JPM katika kusimamia miradi ya Serikali wachochea ushindi.
0 comments:
Post a Comment