Wednesday, November 21, 2012
EEEH!! HIVI HUYU DIAMOND ANA MATATIZO GANI??!!
Nimekutana na hiii Picha katika mtandao mmoja hivi yaani ikabidi NIcheke kweli kweli, Hivi hawa Wasanii wetu wa siku hizi wanaelekea wapi jamani??!!
Haya Sasa hapa DIAMOND ndo anafanya nini tena?? Tukisema mtoto si Rizki tutaonekana tunatukana lakini matendo gani tena haya ndani ya jamiii jamani???
Eeeeh!! haya mi sina Mengi, labda ndo style mpya ya 'WASAFI ' hiyo!!
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment