Friday, May 6, 2016

Ben Pol aipa albamu yake jina la Mtoto wake


MSANII wa Bongo Fleva nchini, Benard Paul ‘Ben Pol’, yupo katika maandalizi ya mwisho ya kuachia albamu yake aliyoipachika jina la mwanaye wa kwanza, Mali aliyezaliwa hivi karibuni.

Nimefanikiwa kukamilisha albamu yangu bila msaada wa mtu mwingine yeyote ndiyo maana nimeamua kuiita jina la mwanangu Mali kwa sababu kila kitu nimefanya mwenyewe na kuenzi jina la mwanangu,” alieleza.

Alisema kabla ya kuachia albamu hiyo anatarajia kuachia video inayoitwa ‘Moyo’ akiwa ameifanyia nchini Afrika Kusini chini ya mtayarishaji, Lolpop katika studio ya Tetemesha.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger