Friday, May 6, 2016

Nuh Mziwanda: Nimefunga Ukurasa wa Mapenzi na Shilole


Baada ya mahusiano ya Shilole na Nuh Mziwanda kuvunjika, sasa kila mtu anamuona wenzake ni adui.

Akiongea kwenye kipindi cha 5 Select cha EATV, Nuh alisema, “Nimefunga ukurasa wa mapenzi na Shilole.”

“Hata ikitokea akataka turudiane sitakubali kwani nimeshaanza mahusiano mapya na nina furaha zaidi. Kwa sasa sitaki tena maisha ya skendo na kiki ndiyo maana hata kwenye page yangu mpya huoni watu wakimtukana Nuh tofauti na ilivyokuwa zamani,” aliongeza.
 
 
Kwa sasa Nuh yupo kwenye mahusiano mapya na mtoto mzuri Zuu.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger