April 01 2016 aliyekuwa Kamishna wa TRA, Harry Kitilya, Sioi Solomoni na aliyekuwa afisa mwandamizi wa benki ya Stanbic tawi la Tanzania na Miss Tanzania wa mwaka 1996 Shose Sinare walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es salaam kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kosa la utakatishaji fedha.
Kesi hiyo
imeendelea April 27 2016 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo
Mahakama imefutilia mbali shitaka la utakatishaji fedha lililokuwa
linawakabili washitakiwa wote hivyo washitakiwa wamebaki na mashitaka
saba.
0 comments:
Post a Comment