Baada ya video ya msanii wa Bongofleva Snura kuzinduliwa na kuitoa rasmi video ya ngoma yake mpya ya Chura,
headlines nyingi zimekuwa zikiandikwa mitandaoni kuhusiana na video
hiyo, wapo wanaoisifia na wapo wanaopenda kuitazama kutokana kuvutiwa na
style yake ya uchezaji, Ayo Tv ilimpata Snura katika exclusive interview.
“Kiukweli
video ya Chura nimeifanya maalum kwa ajili ya youtube na wala sina
mpango wa kuipeleka kwenye Tv yoyote Tanzania, licha ya kuwa nimetumiwa
taarifa kuwa Kenya imeshaanza kuchezwa, kwa wanaosema haina maadili mimi
sijaitengeneza kwa ajili ya Tv bali youtube kwa anaependa kuitazama
ataitazama na kwa mtu ambaye kwake haina maadili asiingie youtube
kuiangalia,Alisema Snura
0 comments:
Post a Comment