Tuesday, July 21, 2015
Mtoto wa miaka 18 anywa sumu baada ya boyfriend wake kumbwaga
Mtoto wa miaka 18 (anayeonekana pichani hapo juu) amekunywa nusu chupa ya dawa ya kuulia wadudu iitwayo sniper baada ya boyfriend wake anayeonekana kwenye picha kumbwaga.
Mtoa taarifa wetu, Aisha Yesufu ambaye alishare taarifa hizi kwenye mtandao mmoja wa kijamii,twitter,alisema kuwa mdada huyo sasa bado amelazwa hospitali na madaktari wamesema moyo wake umeathiriwa na sumu iliyokuwa kwenye dawa. Boyfriend wake aliye mbwaga imebidi aitwe ili amfariji kama anavyoonekana pichani.
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment