Friday, March 29, 2013

UPDATE: MUUAJI WA PADRI MUSHI AKAMATWA HUKO ZANZIBAR...!!!


Mtu anaesadikiwa kuwa ndie muuaji wa padri evalist mushi wa kanisa katoliki,visiwani zanzibar,amekamatwa alasili hii maeneo ya kariakoo,zanzibar.

jeshi la polisi limethibitisha kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo,na kwenye nae kituoni kwa ajili ya mahojiano zaidi.

padri mushi aliuwawa kwa kupigwa risasi mwezi uliopitwa wakati akiwa kwenye gari lake kuelekea kanisani kwenye ibada ya jumapili.

globu ya jamii italeta taarifa kamili ya kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo hapo baadae kidogo
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger