Tuesday, July 21, 2015

Inasikitisha...Selfie hapo chini ilipigwa muda mchache tu kabla ya mlipuko na kuua,Uturuki


Watu wote wakiume na wakike  unaowaona hapa kwenye picha wamefariki baada ya gaidi mmoja mwenye umri wa miaka 18 kujitoa mhanga. Gaidi huyo anayehisiwa kuwa ni mwanachama wa kikundi hatari cha kigaidi huko Uturuki,alijiripua katikati yao jana sehemu moja inayoitwa Suruc,Uturuki. Inasikitisha sana...
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger