Tuesday, July 21, 2015

Mbunge Wa Viti Maalum CCM MARIAM SALUM MFAKI Afariki Dunia

 
Mbunge wa Viti maalum CCM kwa Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Salum Mfaki , Amefariki Dunia Mchana wa leo tarehe 21/07/2015. Hadi mauti yanamkuta alikuwa amelazwa katika Hospital ya Mkoa Dodoma (General Hospital)
 
Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger