Jana kupitia ukurasa wake wa @Instagram Shamsa Ford alimshukuru Nay wa Mitego kwa kumvalisha pete…
Nay amesema amempa tu pete kama zawadi na si
kumvalisha.
Amesema anaona hiyo ni zawadi ambayo ataweza kumkumbuka nayo
tofauti na zawadi nyingine…amesema kama itakuwa vinginevyo atakuwa
tayari kuweka wazi.
0 comments:
Post a Comment