Tuesday, July 21, 2015
Breaking Newzzzzzz: Mbunge wa CCM jimbo la Kahama James Daudi Lembeli Atimkia CHADEMA
Mbunge wa jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. James Daudi Lembeli ametangaza rasmi hii leo kuachana na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA).
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment