Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. James Daudi Lembeli.
Mbunge wa jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. James Daudi Lembeli ametangaza rasmi hii leo kuachana na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA).
0 comments:
Post a Comment