Sunday, November 3, 2013
VIDEO: NORA AFUNGUKA KUHUSU KIPIGO ALICHOPIGWA NA RAY C....
Baada ya habari nyingi sana kuzagaa kwenye mitandao kuwa mwanadada Ray C amegeuka bondia na kumpiga kwa knock-out kali mwanadada Norah, hatimaye kupitia mtandao mmoja maafufu wa kijamii tumeweza kupata video ikimuonesha mwanadada Norah akisema kuwa tukio hilo si la kweli na kwamba yeye na Ray C ni mashosti wa kufa mtu na kuwa habari hizo ni za uzushi tuu.
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment