Sunday, November 3, 2013

PICHA: BIBI MCHAWI APIGWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI BAADA YA KUDONDOKA KWENYE NDEGE ALIYOKUWA ANASAFIRIA...

Bibi mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika amesadikika kudondoka kichawi maeneo ya Tabata Kinyerezi Kisiwani baada ya wenzake aliyedai alikuwa nao kumuacha.Bibi huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni mchawi amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana kutokuwa na kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya kufumaniwa na RAIA.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger