Tuesday, March 12, 2013
AIBU: WAREMBO WACHAPANA MAKONDE HADHARANI WAKIGOMBANIA BWANA...!!
Hii sasa ni laana kwa dada zetu kwa kufikia hatua hii ya kupigana na kuzalilishana na kuachana uchi tena mbele za watu kisa wanaume:Tunawaomba wakina dada wajiheshimu jamani,
Katika hali ambayo iliwashtua wengi ni pale warembo hao alipoamua kuchapana makonde laivu huku kila mmoja akidai kuibiwa mpenzi na mwenzake.... HII NI HATARI
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment