Wednesday, March 13, 2013
MADIWANI WATISHIA KUISHTAKI NHIF...!!
MADIWANI wilayani Rombo wametishia kuwa watauburuza mahakamani Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF). Wamesema watafanya hivyo, kama mfuko huo utaendelea kuwakata fedha kwa ajili ya matibabu huku wakiingia gharama za kujitibu wenyewe wanapougua kwa kukosa vitambulisho vya mfuko huo.
Weka Maoni yako Hapa
0 comments:
Post a Comment