Thursday, January 24, 2013

"WAMBEA WAMENIACHANISHA NA MPENZI WANGU"....RECHO


STAA wa filamu za Kibongo, Rechael Haule ‘Recho’ amefunguka kuwa mastaa wenzake wenye vijiba vya roho wamelivamia penzi lake na George Saguda kwa maneno ya umbeya.


Akipiga stori na paparazi wetu, Recho alisema mastaa hao (hakuwataja majina) wamekuwa wakichukia kuona penzi lao likidumu ambapo wameanza kutupa maneno ya kimbeya kwa bebi wake.
“Kwa kweli nimeshachoka sasa, kama wakiendelea hivi nitawataja mmoja baada mwingine sababu sasa hivi wamezidi,” alisema
Recho.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger