Thursday, January 24, 2013

WEMA AWAPIGA STOP AKINA KUPA

BEAUTIFUL  Onyinye, Wema Sepetu amewazuia waigizaji Idrisa Kupa ‘Kupa’ na Jimmy Mafufu kwenda kununua suti za ndoa zao Afrika Kusini na badala yake atawanunulia yeye.
Akipiga stori na paparazi wetu, Wema alisema ameguswa na ndoa za mastaa hao hivyo ameona bora alilivalie njuga suala hilo kwa kuwaandalia suti zenye hadhi ya kistaa.
“Kupa na Mafufu ni watu wangu wa karibu, haiwezekani waende mbali kiasi hicho kufuata suti, nitawasapraizi kwa suti baab’kubwa,” alisema Wema.
Share:
Weka Maoni yako Hapa

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger