Tuesday, January 8, 2013

SIWEZI KUMTAJA MPENZI WANGU HADHARANI - OMMY DIMPOZ..

 "Maisha ya kimapenzi yako private sana kwangu mimi, lakini itakapofikia time watu wataweza kuelewa, ninachoogopa saa hizi ni kwamba ninaweza nikawatambulisha huyu, kumbe ninayemtambulisha ye hayuko tayari kwa kipindi hicho...kwa hiyo naangalia kama kweli yuko na mimi kwa shida na raha au ananipenda kama Omary sio Ommyimpoz, hapo ndio naweza kuonyesha na watu wajue kuwa nipo kwenye mahusiano au vipi, kwahiyo sasa hivi hivyo vitu naogopa kidogo, kutokana na leo naweza kutambulisha huyo kesho hupo nae mwisho wa siku nakujakuonekana ni msanii kama kioo cha jamii kumbe ni mchafuzi" amesema Dimpoz
Share:
Weka Maoni yako Hapa

Habari Zinginezo:

0 comments:

Post a Comment

Become a Fan

Popular Posts

Copyright © 2025 GUMZO LA JIJI | Powered by Blogger